Mention someone without any reason just to disturb them

Asante babe.

Happy new year.

Watu watakupa samare tulia tu andaa ubuyu😂😂🤣
 
Nilirudi sa tatu
Namshukuru Mungu!

Hivi ushapata samareee ya why Uzi ulifungwa🤣
Hivi na we ulikuwa unashindwa ht kuchungulia tu Kwa id nyingine uone yanayojiri?
Looo
Saint Anne Joannah msaidie lamom🤣🤣
Bado sijapewa samaree my shouga ebu mwaga maudambu dambu bila kuruka hata kituo kimoja, niko hapa!! 😍😍😍
 
Uzi ulifungwa as usual Sababu kuu Hakuna mwingine ni the One and only Le Great kiiiiiiinggg!

Lol hii tag ndio naiona leo jf midamida notifications zinazingua kinoumaa

cc Smart911
 
Uzi ulifungwa as usual Sababu kuu Hakuna mwingine ni the One and only Le Great kiiiiiiinggg!

Lol hii tag ndio naiona leo jf midamida notifications zinazingua kinoumaa

cc Smart911
Miongozo 🤣🤣🤣
Huyo mwanaume atawafanya mtoane roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…