Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nimeona ππππ
Nimefuta πDada Shunie nimeona kupitia comment ya dee aliyokwoti ππππ
Hiyo rangi ya Dubenga kabisaa!!
Hivi kumbe ni chuma hivi?? Nyie Mungu anaumba jamani, ntaliaaaaaaaaaa mimi!!
Sasa nishajua kwann hubabaishwi kumbe unaringia uzuri ππππ
Dada Shunie nimeona kupitia comment ya dee aliyokwoti ππππ
Hiyo rangi ya Dubenga kabisaa!!
Hivi kumbe ni chuma hivi?? Nyie Mungu anaumba jamani, ntaliaaaaaaaaaa mimi!!
Sasa nishajua kwann hubabaishwi kumbe unaringia uzuri ππππ
Aifoni lazima inunuliweπππππππ Wapambe mko wima wima
Wana niniii [emoji1787][emoji1787]
Nkamu vayolensi hizi sasa ππππTusio na Macho matatu tunapita kinyooonge
Wacha tulete selfie za Itel
Mtatukomaπ₯
Umeanza ujinga wako πππUsifute
Watu wa itel bado hatujamliza kuiangalia
Kwanza picha iliyonipita irudiwe
Vinginevyo watu wa iphone siwaachi salama
Kaa kaaa mpaka jioni bana [emoji1787][emoji23] tukihama hapa, tunahamia makapuku
Kaa kaaa mpaka jioni bana [emoji1787][emoji23] tukihama hapa, tunahamia makapuku
Nishaona ππππNimefuta π
Tunarudi kujibu mapigo kwa kishindo kama awamu ya Tanoπ₯Umeanza ujinga wako πππ
Dada Shunie nimeona kupitia comment ya dee aliyokwoti [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hiyo rangi ya Dubenga kabisaa!!
Hivi kumbe ni chuma hivi?? Nyie Mungu anaumba jamani, ntaliaaaaaaaaaa mimi!!
Sasa nishajua kwann hubabaishwi kumbe unaringia uzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamngβata boss wako
Kina mandonga πππNilikua nashangaa uzi unatoka nduki kumbe Kuna watu kazi humu
Hakuna kutoka
Mimi sijaona gram 20
Irudiwe
Vinginevyo tutalianzisha na boss wetu
Nimeona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesimama dada ake uko on fire [emoji7][emoji7][emoji7]