Mention someone without any reason just to disturb them

Ujue nikikuonaga nakumbuka siku ile usiku, yaani sijui ingekuwaje aisee kama na wewe ungekuwa umelala🤣🤣🤣🤣🤣. Nilikutwa na jambo zito!
😂😂😂 ulinishtua sana ujue. Nilikaa kwanza kitandani wakati nafanya ile kitu.
Hapo sina utulivu sbb ya jina nilidhani ni dogo nae anaitwa kma lako 🤣🤣🤣

Na hujawahi sema
😂😂
 
😂😂😂 ulinishtua sana ujue. Nilikaa kwanza kitandani wakati nafanya ile kitu.
Hapo sina utulivu sbb ya jina nilidhani ni dogo nae anaitwa kma lako 🤣🤣🤣

Na hujawahi sema
😂😂
Hiyo nitakwambia, Yaani kuna siku moja napanga kukwambia🤣🤣🤣. Wewe acha tu sitoki tena safari za usiku kwa kweli
 
Na mkwanja ganiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vicoba vinatusaidia halafu nilimuona shangazi Joannah sehemu akiii siku akipigwa sitamgombelezea
😂😂😂😂 wapi uko??? Yule bana siku hizi kachachuka mwenyewe namshangaa!!
Anatafuta wamchachue niingilie nipewe ban hana lolote..!! Ananijua kuvumilia siwezi nikiona anagombana na mtu nanunua ugomvi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi uko??? Yule bana siku hizi kachachuka mwenyewe namshangaa!!
Anatafuta wamchachue niingilie nipewe ban hana lolote..!! Ananijua kuvumilia siwezi nikiona anagombana na mtu nanunua ugomvi

[emoji1787][emoji1787] chit chat humu kwenye thread ya wanawake weupe sijui na matako ila Joannah [emoji1316][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…