Mention someone without any reason just to disturb them

Waje nawakaribisha,kuanzia next month nipo free.

Nilikuwa na hekaheka za msiba
Ndugu yetu niliyekuwa nakesha naye hospital alikata kamba..lile wenge.

Mambo yakawa mengi,muda mchache.
Pole sana mamy
 
[emoji1787][emoji1787] Humu hakuna kuogopana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ weeeh!! Ilikuwa kinini iko jomoonii
 
Waje nawakaribisha,kuanzia next month nipo free.

Nilikuwa na hekaheka za msiba
Ndugu yetu niliyekuwa nakesha naye hospital alikata kamba..lile wenge.

Mambo yakawa mengi,muda mchache.
Pole nkamu Mungu amrehemu apumzike mahali pema.!! Ndiomana ulipoa maskini
 
Pole nkamu Mungu amrehemu apumzike mahali pema.!! Ndiomana ulipoa maskini
Huku tuhangaike namna gani tunamrudisha kwake Songwe huko marehemu maana alitufia Dar.

Huku nije tena kuhangaika na watu waliokosa kazi tena hata siwajui
Hawaji direct kishujaa,wanakuja na id ngeni.
 
🀣🀣🀣 Lamomy anajua
Tena nyie watu ambao huwa hamjibu ndio mnakuwaga hatari
Mna vijembe vyenu classic

Unashangaa mtu anachat anacheka tu huku anapiga vijembe vya maana🀣🀣🀣🀣🀣

Siji sahau Shunie anajiongelesha
Mara huyoo katupia pichaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€”
Yaani hasweat kabisa kubishana

Na nyie wengine mna vijembe vibaya
Hadi unamuonea mtu huruma
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ya nini kujipa shida unapiga kwenye mshono
 
Huo mchezo nimeacha πŸ˜‚
Baada ya kuona mtu haridhiki,, kutwa kuji update inahusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…