Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Sasa unabaki kushangaa
Una shida gani ingine na makabichi uko nayo unayapasha msichana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nacheka mimi
 
Na mkwanja ganiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vicoba vinatusaidia halafu nilimuona shangazi Joannah sehemu akiii siku akipigwa sitamgombelezea
🤣🤣🤣🤣 Jamani mimi navimba najua nyie mpooo ndugu zanguu....ule Uzi Kuna mtu alinifanya nishindwe kunyamaza bwana🤣🤣🤣
 
Huku tuhangaike namna gani tunamrudisha kwake Songwe huko marehemu maana alitufia Dar.

Huku nije tena kuhangaika na watu waliokosa kazi tena hata siwajui
Hawaji direct kishujaa,wanakuja na id ngeni.
Kwakweli kuna muda unapotezea, mi naamini mtu aliyejipanga kugombana haji na id nyingine..!! Mi nikiona jungu nimepigwa linanihusu namkwoti hapo hapo mwenzangu 😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamani mimi navimba najua nyie mpooo ndugu zanguu....ule Uzi Kuna mtu alinifanya nishindwe kunyamaza bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahiyo dada unavimba unatutegemea sisi eenh yaani nilipita nikacheka sana
 
😂😂😂😂 wapi uko??? Yule bana siku hizi kachachuka mwenyewe namshangaa!!
Anatafuta wamchachue niingilie nipewe ban hana lolote..!! Ananijua kuvumilia siwezi nikiona anagombana na mtu nanunua ugomvi
🤣🤣🤣🤣Naringaaa najua Nina watu kama yanga!!!!!Kuna shoga yako ananivurugaga kichwa ndio maana nikamchagua Depal
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahiyo dada unavimba unatutegemea sisi eenh yaani nilipita nikacheka sana
🤣🤣🤣🤣Kimsingi mi mabomu siyawezii,ila najua ukiwepo Shunie Lamomy Depal Missy Gf nikimuongeza na da mau Unique Flower jamani mwanafamilia mwenzenu nashambuliwa mtashindwa kunisaidia kweli?
 
🤣🤣🤣🤣Naringaaa najua Nina watu kama yanga!!!!!Kuna shoga yako ananivurugaga kichwa ndio maana nikamchagua Depal
Nani anatuvurugia my wetu 😂😂😂 tumfanye kidogo mpk aje na matipo 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom