Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hii sura ya avatar km naijua ila jina kdg limebadilika
Nimeitikia mara tatu Mkuu. 🤣🤣
Shukran mno Sis' nami nimefurahi kukuona pia. 🙏🥰Niko vizuri love, nafurahi kukuona.😍
Rafiki hivi si ndio tulishaelewana kuwa watu wazima hatusahau haraka. 🤪🤪Hii sura ya avatar km naijua ila jina kdg limebadilika
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maji mtaita mma🤒😂😂😂😂😂😂
Hope urassa ndio hajiwezi kabisa handkerchief imejaa mafua tu 😂😂😂😂😂😂
Dada unaitikia kirahisi rahisi, umelibariki hili lilitupata 😂😂😂
Hahahahaha..mambo vipi rafiki. Hongera sana
Aisee mambo ni poa rafiki. Ahsante.Hahahahaha..mambo vipi rafiki. Hongera sana
😅😅😅😅Hii sura ya avatar km naijua ila jina kdg limebadilika
Asije akasahau kuwa Yanga bingwa 😅
Naenda kuchekea mbele ya safari mimiNi Raha kusumbuliwa na wewe😁
Nipo musoma huku 😂😁Asubuhi ukiwa wapi Vin 🤪🤪
Hahahahaha kumbe unapenda usumbufu eeh ?Ni Raha kusumbuliwa na wewe😁