Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha..dahNioneshe mahali umetema madini😆
HahahahahahaMnanichora😥
Basi ndio maana unanicheka kumbe naongea pumba
Natania tu,Mnanichora😥
Basi ndio maana unanicheka kumbe naongea pumba
Mimi siwezi kua kama Jadda
Unachekesha tu basiMimi siwezi kua kama Jadda
Mitazamo yangu sio ya kifeminist
Nashangaa unavyonicheka au umenigeuka
Kwa hiyo umesema jadda ni nani vile ,nimuite?Mimi siwezi kua kama Jadda
Mitazamo yangu sio ya kifeminist
Nashangaa unavyonicheka au umenigeuka
SawaUnachekesha tu basi
Muandiko unachekesha
Usinichonganishe na JaddaKwa hiyo umesema jadda ni nani vile ,nimuite?
Wewe ni mkorofiKama hapa
Ukisema 'sawa' 'aya' 'vyema' nacheka
Nisemee kwa mchumbaako🤣Wewe ni mkorofi
Sio mkorofi hawezi kukufanya kituNisemee kwa mchumbaako🤣
Aaaaawwww!!!!
Usinichonganishe na Jadda
Mimi ni shabiki yake namba moja na analijua hilo.😂
MAKIWENDO😊Aaaaawwww!!!!
Nimefurahi mno Swahiba😘
Pamoja sana..pole na kazi swahibaAaaaawwww!!!!
Nimefurahi mno Swahiba😘
😩Nakupenda sana yaani 😘
Ahsante Swahiba....Pamoja sana..pole na kazi swahiba
Pamoja Sana Vincenzo Jr
Pamoja sana ,SwahibaAhsante Swahiba....
Pole pia.
Haha huu ni ujasiri wa kwenye keyboard tu mdogo wangu usidanganyike hata mimi ni muoga sana basi tu, ni vile huku jf watu wanamdefine mtu kwa kuangalia muandiko wake ndio maana wengi wanadhani mimi kauzu, ila ninaofahamiana nao nje ya hapa wanajua mimi ni mtu wa aina gani