Mention someone without any reason just to disturb them

Huenda hujawapenda tu, ila ni watamu sana ukishushia na Coca/Pepsi baridi πŸ€—

Hizo Pizza ulizokula ni za pale Pizza huts ama Pizza za Mtaani πŸ™Œ

Nenda kale kaonje Pizza za Mkuki mall pale
Sawa babu! Jumatatu nitaenda na sumbai hapo mkuki kuonja hiyo pizza nitakupa mrejesho
 
Mbona unafurahi sasa?😣
Moyo unaniuma sijalala vizuri leo
View attachment 2999558
Daah huyo kweli ni mzuri. Sasa we unaumia nini hapo hupendi mchezaji wetu aendelee kuperform vizuri na happy family yake?

Maana nilikua nishatuma wahuni wakatafute soksi yake kwa ajili ya kuanza kumshughulikia. Kwa sasa zoezi limeghairishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…