ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Sawa babu! Jumatatu nitaenda na sumbai hapo mkuki kuonja hiyo pizza nitakupa mrejeshoHuenda hujawapenda tu, ila ni watamu sana ukishushia na Coca/Pepsi baridi 🤗
Hizo Pizza ulizokula ni za pale Pizza huts ama Pizza za Mtaani 🙌
Nenda kale kaonje Pizza za Mkuki mall pale