Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Hadi nimeamka!
Hakuna neno kaka pamoja sanaaNilisahau kaka
hahahaha we jamaa
Kwakweli hata me naona. Yaani kumepoa humu kila nikiingia hamna jipya nikasema nikustue kwanza😂😂😂 nipo jirani maisha yanatupeleka mbio
Abee…mambo?
Poa mimi..Twenzetu mahangaikoniAbee…mambo?
Hiyo swahiba niwe mkweli siijui.ikoje nipe somo kdgNimesali Baraka Swahiba....
Unaijua?😄
HahahahahaNa zile samaki zao zilivyo tamu....
Naomba ratiba Weekend ijayo Best😅
Pole unaelekea wapi? Shuka sehemu nikupitie na bajaj yangu naenda kariakoo kubeba bidhaaNipo kwenye daladala watu nyomiii
Waliosimama wamenilalia pumzi imenibana harufu nzito nahisi kuzimia😞
Siku hizi unakua msanii sana😂Pole unaelekea wapi? Shuka sehemu nikupitie na bajaj yangu naenda kariakoo kubeba bidhaa
Msanii kivipi tena ? Ok uko posta sehemu gani..mie bajaji napaki mnazi mmojaSiku hizi unakua msanii sana😂
Ninapotokea huwezi kupita na mkoko wako ila naelekea Posta hata hivyo nakaribia kufika