Mention someone without any reason just to disturb them

Niko busy kusaka pesa.!! Ngoja nizikamate ntarudi soon kuamsha popo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenzio mambo yalinizidia nikasema nije kwanza humu kuomba tenda, hakii vile nimezipata saizi nina mda hadi wa kuswampaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. Ila sikuizi mambo yamebadilika hadi sio poa
 
Mwenzio mambo yalinizidia nikasema nije kwanza humu kuomba tenda, hakii vile nimezipata saizi nina mda hadi wa kuswampaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. Ila sikuizi mambo yamebadilika hadi sio poa
Nna miubuyu ya moto moto ngoja nimalize ninachokifanya mbona ntarudi kuwakausha uzazi 🀣🀣🀣🀣
 
Nna miubuyu ya moto moto ngoja nimalize ninachokifanya mbona ntarudi kuwakausha uzazi 🀣🀣🀣🀣
Ufaanye tu kuniambia nakukuta wapi na popcorn zangu, maana vya kufanya vinaweza visiisheπŸ€’πŸ€’πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ufaanye tu kuniambia nakukuta wapi na popcorn zangu, maana vya kufanya vinaweza visiisheπŸ€’πŸ€’πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tulia usiwe na pupa
Raha ya ubuyu uumwage sio uufiche
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tulia usiwe na pupa
Raha ya ubuyu uumwage sio uufiche
Imeisha hiyo, na venye hunaga mbambamba jirani yangu, wacha tu niendelee kusugua miguu taratibu sina haja ya kuwahiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…