Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Tatizo unalalaga mno kikawashwa 😂😂😂Imeisha hiyo, na venye hunaga mbambamba jirani yangu, wacha tu niendelee kusugua miguu taratibu sina haja ya kuwahi😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo unalalaga mno kikawashwa 😂😂😂Imeisha hiyo, na venye hunaga mbambamba jirani yangu, wacha tu niendelee kusugua miguu taratibu sina haja ya kuwahi😂😂😂
Tatizo unasahau kunitag😃😃.. Halafu majukwaa nyuzi nyingine sijui kwanini sina access nazo kama kule selfika kunakuaga na maubuyu halafu siwezi kuingia,. Hadi nilog out niview kama guest 🧐😬Tatizo unalalaga mno kikawashwa 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Ule uzi wa moto mpk sio poa.!!Tatizo unasahau kunitag😃😃.. Halafu majukwaa nyuzi nyingine sijui kwanini sina access nazo kama kule selfika kunakuaga na maubuyu halafu siwezi kuingia,. Hadi nilog out niview kama guest 🧐😬
Naonaga😂😂.. Nilivyo mbea unahisi hua napitwa na kitu sasa😂😂 .. Nawasomaga tu kimyakimya🤣🤣🤣🤣 Ule uzi wa moto mpk sio poa.!!
Ss hivi umepoa wachachuaji hawapo! Ushafungwa na kufunguliwa mara kibao, una hekaheka ule.
😂😂😂😂😂 hatariiiiiNaonaga😂😂.. Nilivyo mbea unahisi hua napitwa na kitu sasa😂😂 .. Nawasomaga tu kimyakimya
Unaolewa mwakani?Ile namba uliyoipoteza itafute ukae nayo nina jambo langu hapo mwakani
Sijui kwa maana bado sijaambiwa "will you marry me?😂Unaolewa mwakani?
Hahahahaha..huyo uliyenaye sasa atakuambia tu , mpe mudaSijui kwa maana bado sijaambiwa "will you marry me?😂
😘😘😘😘😘Japo sijapenda ulivyonidanganya,umenifanya nikeshe
Hahahahaha...Leo jioni nikumbushe Rafiki😘😘😘😘😘Japo sijapenda ulivyonidanganya,umenifanya nikeshe
Yaani naisubiri jioni Kwa hamuHahahahaha...Leo jioni nikumbushe Rafiki
Hahahahaha...rafiki usifanye hivyoYaani naisubiri jioni Kwa hamu
Hivi kwann huyu bwana anakunja suruali hivi??
Hivi evening glory ipogo??? MtaaalamYaani naisubiri jioni Kwa hamu
Hivi kwann huyu bwana anakunja suruali hivi??
Ushamba huu wakizamani saana
Msimu ujao hatakuwepo