Mention someone without any reason just to disturb them

Imeisha hiyo, na venye hunaga mbambamba jirani yangu, wacha tu niendelee kusugua miguu taratibu sina haja ya kuwahiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tatizo unalalaga mno kikawashwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo unalalaga mno kikawashwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tatizo unasahau kunitagπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. Halafu majukwaa nyuzi nyingine sijui kwanini sina access nazo kama kule selfika kunakuaga na maubuyu halafu siwezi kuingia,. Hadi nilog out niview kama guest 🧐😬
 
Tatizo unasahau kunitagπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. Halafu majukwaa nyuzi nyingine sijui kwanini sina access nazo kama kule selfika kunakuaga na maubuyu halafu siwezi kuingia,. Hadi nilog out niview kama guest 🧐😬
🀣🀣🀣🀣 Ule uzi wa moto mpk sio poa.!!
Ss hivi umepoa wachachuaji hawapo! Ushafungwa na kufunguliwa mara kibao, una hekaheka ule.
 
🀣🀣🀣🀣 Ule uzi wa moto mpk sio poa.!!
Ss hivi umepoa wachachuaji hawapo! Ushafungwa na kufunguliwa mara kibao, una hekaheka ule.
NaonagaπŸ˜‚πŸ˜‚.. Nilivyo mbea unahisi hua napitwa na kitu sasaπŸ˜‚πŸ˜‚ .. Nawasomaga tu kimyakimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…