Mention someone without any reason just to disturb them

Maharamia hawajafika huku in Saint Anne voice [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeomba uzi urudishwee love, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf Leo naiona km jelaaa.
 
Nimeomba uzi urudishwee love, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf Leo naiona km jelaaa.
Nilijua tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole. Kuna yule mjinga anaita mods mara nyingi. Halafu nao hebu watupishe, zile hekaheka ndiyo zinaamsha amsha bana.
 
Nilijua tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole. Kuna yule mjinga anaita mods mara nyingi. Halafu nao hebu watupishe, zile hekaheka ndiyo zinaamsha amsha bana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani JF leo imenikataa mood kabisaa, sina hata hamu nayoo. Aaaah
 
Hii auntiee! Nimekumiss πŸ˜ƒπŸ˜˜.

Kutag mods ni raha lakini napenda kesi kesi ujue πŸ€—
Why unafanya hayo? Halafu kwenye ID yako nyingine ulinitukana. Sikuwa na mood ya kugombana hiyo siku nikapotezea. Kuwa na amani na moyo wako, achana na hayo Aunt
 
Why unafanya hayo? Halafu kwenye ID yako nyingine ulinitukana. Sikuwa na mood ya kugombana hiyo siku nikapotezea. Kuwa na amani na moyo wako, achana na hayo Aunt
πŸ€” I'd nyingine? Duuh la hasha umekosea sijawahi kukuvunjia heshima muandiko wangu hujaukariri tu

Umenifananisha labda! Ila basi napenda kutag mods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…