Treeeenaah.!! π
Poa, niaje mpare wa milimani?Mambo π
Mekumis πPoa, niaje mpare wa milimani?
Kipipa mmeopoesha ila nyie wajaπ€£π€£Oyoooooo.!! Mambo hayo π»
Mama kaimba nyimbo hiyo, yani unabebewa mume βkibabeβ na huna unafanya dadeq
Wapi dada kipipa weeeehh π€£π€£π€£
Haya mkuuMekumis π
Kipipa tatizo mjini kaingia kwa wenge ππKipipa mmeopoesha ila nyie wajaπ€£π€£
Huu umji una wenyewe banaπ€£πKipipa tatizo mjini kaingia kwa wenge ππ
Shosti yake coca kipipa
πΉπΉπΉ kipipa kaishia kulombwa had na vibabu wa jeiefu nyie mie ahiiyiiii chitaki ntachutwa bureeeHuu umji una wenyewe banaπ€£π
πΉπΉπΉ kipipa kaishia kulombwa had na vibabu wa jeiefu nyie mie ahiiyiiii chitaki ntachutwa bureee
Mfyuuu!! Smart girl wa nyokwee πΉπΉsmart gel kama yuleeee analambwaje na wazee jomoniπ€£π€£
Nitakupanga kipenzLini? Em nipange wii
Hiyo sio ya kukosa aisee.!!
Fanya hivyo wii π»Nitakupanga kipenz
Haswahh!! Waswahili na nongwa zetu π€£π€£Uzi umegeuka kijiwe Nongwa π
mstupiane majini tuHaswahh!! Waswahili na nongwa zetu π€£π€£
NitafuteHahahaaa. Lol.
Nilikuwaza jana ujue sema muda ukawa umekwenda. Lol.Nitafute
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena Taarabu za Sabaha Muchacho, zinanikoshaa balaaa.Saint Anne na Aaliyyah njooni muweke zile taarabu leo nimeamka na mood ya uswazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]