Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Treeeenaah.!! š
Ukija town na wenge lazima ukaribishwe na watoto wa mjini š¤£š¤£š¤£
Nyimbo tamu sana hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa, niaje mpare wa milimani?Mambo š
Mekumis šPoa, niaje mpare wa milimani?
Kipipa mmeopoesha ila nyie wajaš¤£š¤£Oyoooooo.!! Mambo hayo š»
Mama kaimba nyimbo hiyo, yani unabebewa mume ākibabeā na huna unafanya dadeq
Wapi dada kipipa weeeehh š¤£š¤£š¤£
Haya mkuuMekumis š
Kipipa tatizo mjini kaingia kwa wenge ššKipipa mmeopoesha ila nyie wajaš¤£š¤£
Huu umji una wenyewe banaš¤£šKipipa tatizo mjini kaingia kwa wenge šš
Shosti yake coca kipipa
š¹š¹š¹ kipipa kaishia kulombwa had na vibabu wa jeiefu nyie mie ahiiyiiii chitaki ntachutwa bureeeHuu umji una wenyewe banaš¤£š
š¹š¹š¹ kipipa kaishia kulombwa had na vibabu wa jeiefu nyie mie ahiiyiiii chitaki ntachutwa bureee
Mfyuuu!! Smart girl wa nyokwee š¹š¹smart gel kama yuleeee analambwaje na wazee jomoniš¤£š¤£
Nitakupanga kipenzLini? Em nipange wii
Hiyo sio ya kukosa aisee.!!
Fanya hivyo wii š»Nitakupanga kipenz
Haswahh!! Waswahili na nongwa zetu š¤£š¤£Uzi umegeuka kijiwe Nongwa š
mstupiane majini tuHaswahh!! Waswahili na nongwa zetu š¤£š¤£
NitafuteHahahaaa. Lol.
Nilikuwaza jana ujue sema muda ukawa umekwenda. Lol.Nitafute
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena Taarabu za Sabaha Muchacho, zinanikoshaa balaaa.Saint Anne na Aaliyyah njooni muweke zile taarabu leo nimeamka na mood ya uswazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]