Ndio unaanza, vitatu utalewa uzimeSikuonja, Ntumie vitatuπ
Kwahiyo mimi sina wa kujitaja humu?
dah!π basi tutanza na kimoja na nusu kwanzaNdio unaanza, vitatu utalewa uzime
Inamaana gani hii user name yako?
Nikikuambia itabidi nifute account yangu ππInamaana gani hii user name yako?
Kwasabu gani?Nikikuambia itabidi nifute account yangu ππ
Huu Uzi Bado upo?
Niaje