Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 446
- 769
Yes ma bebzUnajipakulia minyama
Tuyajenge inbox ma loveYes ma bebz
Tutatoa Askar Monument pale posta tuweke lakoππNijengewe sanamu
Hahah
Pazuri sanaa andaa swimming Costume mapema maana tunakaa karibu na bahari kabisa mwendo wa dakika moja umefika beachππNi huzuni kwakweli πππ
Bora hapa niliwaza bro atatoboa kwelππππππ
Unajua kiuhalisia pesa tunapqta ila ss kwenye kuweke wengi hatuna hiyo nidhamu, dawa ni vikoba na michezo tu....
Mi hapana sifiki Mil kwakweli
πππBora hapa niliwaza bro atatoboa kwelππ
Unfortunately sipendi kuogeleqPazuri sanaa andaa swimming Costume mapema maana tunakaa karibu na bahari kabisa mwendo wa dakika moja umefika beachππ
Nimelia sanaUnfortunately sipendi kuogeleq
Hahah
Njoo uone daddy ake KimmieNimelia sana
Tulinunua nyumba karibu na beach kwa ajili yako usiwe bored na mtwara yetuπ₯Ί
Familiya sikuona hii tag. Heshima yako mkuu π
Ndugu yangu huyo anajua huwa nikiingia JF notifications zote napiga mark read usiponipa taarifa kule eFootball kama umenipa tag mahali unaweza hisi nimedharau ππ
Kijana wangu analeta taharuki πNjoo uone daddy ake Kimmie
Shwari umepotea sana kakFamiliya sikuona hii tag. Heshima yako mkuu π
Alimmisi sana π hawezi bisha
ππShikamoo mkuuMkubwa wewe sasa π
Naomba nikusalimie huku nimekushika miguu kakaπππShikamoo mkuu
Nimekuta kujibu