Mention someone without any reason just to disturb them

Yule mpemba wa Zenji
Sijui anatumia ID gani sahivi…
Zamani zamani hapo nilikuwa nachitchatika nae uzi wa likes…

Alikuwa anachekesha sana 😂
Akianza kutusema wabara
Huyo sio mimi na nina Id moja toka niwe hapa na nina ndoto kuwa na mchepuko Id ya umafia ila nashindwa.

Hata swaga za kuchatika na mtu Jf sijui huwa nawaonea wivu humu wakubwa wakichati wenyewe kwa wenyewe na pisi kali humu Jf ,mimi kuchatika sijawahi nafasi ikija siwezi kuendeleza conversation za kichitchat huwa naishiaga reply tatu tu tena hapo nimeupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…