Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
We kuna mtu/ member nakufananisha nae..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kuna mtu/ member nakufananisha nae..
Ipunguze ukali ma maisha aisee... hahahaha😂😂😂 Serikali inatugombanisha sanaaa
Karibu tuonane... tukae tuangalie tu bila kufanya chochote...😂😂😂 muone
Nani huyo ? mtaje nimjue pacha wangu..We kuna mtu/ member nakufananisha nae..
Yule mpemba wa ZenjiNani huyo ? mtaje nimjue pacha wangu..
Ngoja nifanye tahajudi nitokezee hapoKaribu tuonane... tukae tuangalie tu bila kufanya chochote...
Huyo sio mimi na nina Id moja toka niwe hapa na nina ndoto kuwa na mchepuko Id ya umafia ila nashindwa.Yule mpemba wa Zenji
Sijui anatumia ID gani sahivi…
Zamani zamani hapo nilikuwa nachitchatika nae uzi wa likes…
Alikuwa anachekesha sana 😂
Akianza kutusema wabara
Investor 1 for no reason too😂financial services
Yaani for no reason
Open the door. Umefunga na komeo la Magereza.
Iwo [emoji23]