Shushaaa chorus 🎤G-Nako ft Niki wa Pili hahahaha...
Kuna mistari anasema...
Mama ma-ex wangu na uwa-diss
Maana ma-ex wangu wote walikuwa rahisi
Sikujua kutongoza kuwa ni ngumu like this...
Sikujua mi sijui kutongoza like this, ah
Kumbe kushobo shobokewa
Kuwapata kuwa ngekewa...
Ni kuanza kuondokewa
Na maujuzi yako ya watoto kuwatokea
Na upuuzi wake leo mtoto kapotea
Kama naujua nitakusindikiza 😁Nitaimba baade Hipo Hop... 😉😉
You guys now are too much..yaani mnapiga vijembe vya hatariG-Nako ft Niki wa Pili hahahaha...
Kuna mistari anasema...
Mama ma-ex wangu na uwa-diss
Maana ma-ex wangu wote walikuwa rahisi
Sikujua kutongoza kuwa ni ngumu like this...
Sikujua mi sijui kutongoza like this, ah
Kumbe kushobo shobokewa
Kuwapata kuwa ngekewa...
Ni kuanza kuondokewa
Na maujuzi yako ya watoto kuwatokea
Na upuuzi wake leo mtoto kapotea
Hehehe unaweza ukawa unaujua au usiujue...Kama naujua nitakusindikiza 😁
Me ni browser siku zote, maboresho hayameet matamanio ya macho yangu..
Matamanio ya macho yako ni kuona nini...Me ni browser siku zote, maboresho hayameet matamanio ya macho yangu..
Font ya kawaida kama ile ya mwanzo..Matamanio ya macho yako ni kuona nini...
Utazoea tu...Font ya kawaida kama ile ya mwanzo..
Kick out pm
Warudishe kitufe cha new trends
Nimepotea vituko.. nitagipoUtazoea tu...
Acha usumbufu