Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Shushaaa chorus 🎤G-Nako ft Niki wa Pili hahahaha...
Kuna mistari anasema...
Mama ma-ex wangu na uwa-diss
Maana ma-ex wangu wote walikuwa rahisi
Sikujua kutongoza kuwa ni ngumu like this...
Sikujua mi sijui kutongoza like this, ah
Kumbe kushobo shobokewa
Kuwapata kuwa ngekewa...
Ni kuanza kuondokewa
Na maujuzi yako ya watoto kuwatokea
Na upuuzi wake leo mtoto kapotea
Uu uh arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh…
Arostoooo, usiniache na arosto
Sema bana Team Weusi wanajua sanaaa 🔥