Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Tumuombee apone kabisaAnaumwa chupu chupu nimkose...
Mwenyewe hajihurumii kaumia tena leo..Tumuombee apone kabisa
Bado tunamuhitaji sana tu
Yan ungejua venye naumia hapa usingekuja kunichora eti π€£π€£π€£Mwenyewe hajihurumii kaumia tena leo..
Itabidi kachapwe viboko sasa, kaache kurudia kujiumizaMwenyewe hajihurumii kaumia tena leo..
Em tuone ulipoumia saiviYan ungejua venye naumia hapa usingekuja kunichora eti π€£π€£π€£
Na siwaambiii
Ila jueni nimeumia
Na hapa ndio nataka kwenda hosp π
Umeumia moyo au?Yan ungejua venye naumia hapa usingekuja kunichora eti π€£π€£π€£
Na siwaambiii
Ila jueni nimeumia
Na hapa ndio nataka kwenda hosp π
yaani December natamani nizunguke mpaka nikome..! Yes tutaplan kwenda hata kama siyo huko tutapanga location...!December πππ twende? Usinismbie we ndio ushazamia kule kwa location mazima?
Nakuaminia mtu mwenye leave zake za kumwaga na chenjiii ππyaani December natamani nizunguke mpaka nikome..! Yes tutaplan kwenda hata kama siyo huko tutapanga location...!
Yes, japo bado sijapoa na sijapazoea, ifu yu no wari ai mini.!
Ila hii nzuriiii sana
Muulize kwanini anapenda kuiba vitu vyangu π€£Ila hii nzuriiii sana
Nina uhakika umemuibia wewe, nilikuona wakati unaiba πMuulize kwanini anapenda kuiba vitu vyangu π€£
Ahsante sana...Nina uhakika umemuibia wewe, nilikuona wakati unaiba π
Weeee thaa ngapi πAhsante sana...
Muulize kuna kitu nilimwabia kuhusu wewe akawa mkali hatari...
Unanisagia π€£Nina uhakika umemuibia wewe, nilikuona wakati unaiba π
Kitu gani hikoAhsante sana...
Muulize kuna kitu nilimwabia kuhusu wewe akawa mkali hatari...