Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅 😅😉😛😛@Carleen niliambiwa hivyo na mwalimu wangu wa math baadaxya kumletea utani kwenye swala serious.
Nimeshindwa kukuchunia mpenzi......niko hapa[emoji8]Waseme nakusumbua bebe wangu, sasa ole wako unichunie
That's my bebe 😘😘
ila kumdisturb big boss haipendezi, naomba tuu asinipige SUPANA.
Rafiki inamaana hujaona ulipotajwa kwenye uzi mzima!!😳😳Duh list yote hii simo ,kweli JF INA wenyewe
Hkn hata wakunikumbuka?
Acha nijitaje mwenyewe
mtu chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, sijaona asee Rafiki, lkn sidhani km nimo ,huwa mada km hz zina watu wake humuRafiki inamaana hujaona ulipotajwa kwenye uzi mzima!![emoji15][emoji15]
Angalia vizuri
🥺🥺🥺🥺kwahiyo rafiki hata notification hujaona😢😢😢..Hahahaha, sijaona asee Rafiki, lkn sidhani km nimo ,huwa mada km hz zina watu wake humu
Mm zile za ugimbi ndio natajwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, Rafiki umenitaja ? Asee itakua kwa Mara ya kwanza natajwa JF ,ahsante ,but sijaona chochote[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]kwahiyo rafiki hata notification hujaona[emoji22][emoji22][emoji22]..
MB’s zangu zimeenda bure [emoji17]
Tuwe wapole tu ,vingine sio vya kuforce ,hahahahaNimesoma comments zoote hadi hapa, hola.
Samahani wakuu, naomba mwenye kujua jinsi ya kubadili avatar please help. Maana inanifelisha sana walahi...[emoji17][emoji17]
Acha kuzuga basi rafiki yangu.na ukijiona nakutoza fine wallah.ulipolike mda huu alipo extrovert kwa chini yake O’Shea kidogo utajionaHahahaha, Rafiki umenitaja ? Asee itakua kwa Mara ya kwanza natajwa JF ,ahsante ,but sijaona chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Not kuzuga sijaona ,kumbe wako wakunikumbuka humu ?Acha kuzuga basi rafiki yangu.na ukijiona nakutoza fine wallah.ulipolike mda huu alipo extrovert kwa chini yake O’Shea kidogo utajiona
😔😔😔😔😔😔