ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitachanua tabasamu hivyo nikiona call ya dada mchina.. 😅😅
Amenificha kaka yako Mtani.Long time sana mtani, sijui unefichwa wapi na nani amefanya hiyo kazi!!
Ooh Lord.Amenificha kaka yako Mtani.
Mtu M-bad sana yule
Hahah kumbe ndiwe Elly?Long time sana mtani, sijui unefichwa wapi na nani amefanya hiyo kazi!!
My one and only Mamndenyi mtoto anaye ufanya moyo wangu kuwa dhaifu.
Huyo braza asitufanyie hivi mtani, angejua vile nilikumiss we acha tu!!Amenificha kaka yako Mtani.
Mtu M-bad sana yule
Ndio mimi mkuu quigley!Hahah kumbe ndiwe Elly?
Nipo kila siku kaka.Ndio mimi mkuu quigley!
Sijakuona mda sana mkuu!!
Kwa kweli katika watu niliwamiss ni huyu mtu!Nipo kila siku kaka.
Hatimaye Patience123 wetu ksonekana[emoji28]