Mention someone without any reason just to disturb them

Mbona unahasira na wivu wa waz🤣embu kausha bhana
Hasira za nini wee mama...
Wataka kuniua bure wee mama...
Yule siyo wangu, nami siyo wako, chuki ya nini kati yangu mimi na wewe...

Nasema sina makosa, wee mama...
Kuna mlevi mmoja alikua anaimba hiyo nyimbo, akiyumbayumba...
 
Ha ha haaa🤣....we jamaa wewe.Tafadhali urafiki wangu nawe udumu daima....kumbuka tusivuke bas....tukumbuke tulikosana nao coz ya love.Love is sweet but evil.I hate it😠
 
Tatizo sasa wewe ushapenda na unanitaka sana, uniweke ndani nife ufurahi itakua ngumu kuto kuvuka mipaka..

I don't hate love... Plz babe bring it on...
 
Back
Top Bottom