Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍
Asa ndio akasirikie samaki kwa shida zake mwenyeweAchana nae ana maudhi yake huyo... Mwimba umemkaba mpaka kaenda hospitali...
Sijawahi, iko mitaa gani.
Nikisemaga huyo mkorofi, mnahisi namuonea...Asa ndio akasirikie samaki kwa shida zake mwenyewe
Ni kakorofi sanaNikisemaga huyo mkorofi, mnahisi namuonea...
Ipo Maisha Club ya zamani... Pande zile zile za KFC...Sijawahi, iko mitaa gani.
Kesho ninao muda wa kutosha nipitishe pls
Tutaenda sawa, mtoto mzuri...
Sahii uko wapi? Nipitie basi hapa Kibo twendeTutaenda sawa, mtoto mzuri...
Sawa ole wako sasa...Sahii uko wapi? Nipitie basi hapa Kibo twende
Uje na Rrr 😋😋Sawa ole wako sasa...
Napenda kubondwa na wewe, sababu huishia kwenye... kho' kho' kho'Nitakubonda
Niache niangalie Mwantumu 😂😂Napenda kubondwa na wewe, sababu huishia kwenye... kho' kho' kho'
Duuh!! Ndiyo nini hiyo...Niache niangalie Mwantumu 😂😂