Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Perfect na yako je?
Alhamdulillah, Mungu ni mwema. Hofu na shaka ilikuwa ni kwako binti mapozi. 🥰Perfect na yako je?
Na mbona ulinidanganya🤨🤨
Yani wewe kichwa chakoAlhamdulillah, Mungu ni mwema. Hofu na shaka ilikuwa ni kwako binti mapozi. 🥰
Kichwa changu kinauma kwaajili ya mapozi yako. Kila nikikuwaza nahisi we ndio kitu pekee nachokikosa kwenye maisha yangu.Yani wewe kichwa chako
It has been so wonderful mkuu I hope nayako pia imeenda vizuri!
Nikiiona msg yako basi mi huwa siku yangu inakuwa imebamba ile mbaya boss lady wangu.It has been so wonderful mkuu I hope nayako pia imeenda vizuri!
😂😂😂😂😂Haya nitumieni vocha wewe na mshamba_hachekwi na Mnara wa TzKichwa changu kinauma kwaajili ya mapozi yako. Kila nikikuwaza nahisi we ndio kitu pekee nachokikosa kwenye maisha yangu.
nina kalaki hapa kananisumbua, weka namba pm nifanye namna😂😂😂😂😂Haya nitumieni vocha wewe na mshamba_hachekwi na Mnara wa Tz
Vocha kuanzia jumanne ndio ntaanza kuzishusha huku hilo ni suala dogo sana.😂😂😂😂😂Haya nitumieni vocha wewe na mshamba_hachekwi na Mnara wa Tz
😂😂😂😂😂Mbona Poker alinitumia bila kuniomba namba mhhhhhnina kalaki hapa kananisumbua, weka namba pm nifanye namna
namba ntaipataje sasa😂😂😂😂😂Mbona Poker alinitumia bila kuniomba namba mhhhhh
Yani nisubili vocha hadi jumanne😂😂😂wewe nimekutoa kweny list amebaki mshamba_hachekwi ndo baba laoVocha kuanzia jumanne ndio ntaanza kuzishusha huku hilo ni suala dogo sana.
🙆🙆🙆Aaah kumbenamba ntaipataje sasa
ila lovelovie bana
mshamba_hachekwi hatoi vocha bure bure. Mimi pekee ndio natoa maana najua utamu wake. 😂Yani nisubili vocha hadi jumanne😂😂😂wewe nimekutoa kweny list amebaki mshamba_hachekwi ndo baba lao
😂😂😂😂😂😂Yani Mshamba hachekwi ety kanigeuzia gear angani😂😂😂😂😂😂najutamshamba_hachekwi hatoi vocha bure bure. Mimi pekee ndio natoa maana najua utamu wake. 😂
tunachafuana siomshamba_hachekwi hatoi vocha bure bure. Mimi pekee ndio natoa maana najua utamu wake. 😂