Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Switati.... Uamke sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Switati.... Uamke sasa
Nimeamka mupenzi, umeamkaje mama?Switati.... Uamke sasa
Niko poa. Habari yako?Nimeamka mupenzi, umeamkaje mama?
Niko salama kabisaMarahaba. U hali gani bibie?
Ulikua poa japo nilichelewa kulalaNishaamka mapema tangu saa 10 alfajiri. Vp usiku wako uliendaje lakini?
Kwanini ulichelewa kulala kipenzi changu na tuliagana kila mtu akalale?@
Ulikua poa japo nilichelewa kulala
Nilikua kwa mchepukoKwanini ulichelewa kulala kipenzi changu na tuliagana kila mtu akalale?
Salama kabisa kumekuchwa tenaNiko poa. Habari yako?
mambo si mazuri mchumba
ndio nan huyoMarcy unasalimiwa na Program Manager [emoji3059]