Mention someone without any reason just to disturb them

Happy New Year my pipo
Nimewamiss mno
Mahondaw cocastic Missy Gf Joannah Tayana-wog binti kiziwi Zulu man Ms eyes Dr Lizzy mshamba_hachekwi raraa reree Omulasil Mpaji Mungu Half american Unique Flower Tlaatlaah Rabbitus Saint Anne Dejane Shunie Mjep Mshana Jr Glenn Leejay49 na wengine niliowasahau wote All members
Haya kabla ya yote wale wa uzi wa mafoto vipi?!! Mbona naingia nakuta uzi umefungiwa tena?!!! Kwan kilitokea nini wapendwa?
Hebu nipeni samarre kwanza 🥺
Mi nishakuja na li album langu la mifoto ya holiday na baby wangu nakuta mauzauza..!!
Nini kimetokea??
Shoga kidawa tumekumiss, aiseee ban gani ile karibu ya mwaka mzima?

Mimi Kiukweli uzi ule sijui nini kilitokea, nilitaka niingie siku moja nikakuta pin.

Karibu JF, sisi wapooo.
 
Nimewamiss acha tyuuu!!! Ile ban ya kiwaki 🤣🤣🤣
Mods jamani wangetuachia uzi wetu tulikuwa tunapoteza muda mle
Ankal mshana aanzishe mwingine buana
 
Happy New Year my pipo
Nimewamiss mno
Mahondaw cocastic Missy Gf Joannah Tayana-wog binti kiziwi Zulu man Ms eyes Dr Lizzy mshamba_hachekwi raraa reree Omulasil Mpaji Mungu Half american Unique Flower Tlaatlaah Rabbitus Saint Anne Dejane Shunie Mjep Mshana Jr Glenn Leejay49 na wengine niliowasahau wote All members
Haya kabla ya yote wale wa uzi wa mafoto vipi?!! Mbona naingia nakuta uzi umefungiwa tena?!!! Kwan kilitokea nini wapendwa?
Hebu nipeni samarre kwanza 🥺
Mi nishakuja na li album langu la mifoto ya holiday na baby wangu nakuta mauzauza..!!
Nini kimetokea??
Kulaanina
Karibu tena kichuna
Nilikumis kinyama
Ngoja nikutag
Mjomba mshana alishafungua mwinginee
 
Kulaanina
Karibu tena kichuna
Nilikumis kinyama
Ngoja nikutag
Mjomba mshana alishafungua mwinginee
Oyooooo!! Bff wake mie 😍😍😍
Kwanza njoo chemba 🤣 nasikia kulikua na mambo bulbul
 
Happy New Year my pipo
Nimewamiss mno
Mahondaw cocastic Missy Gf Joannah Tayana-wog binti kiziwi Zulu man Ms eyes Dr Lizzy mshamba_hachekwi raraa reree Omulasil Mpaji Mungu Half american Unique Flower Tlaatlaah Rabbitus Saint Anne Dejane Shunie Mjep Mshana Jr Glenn Leejay49 na wengine niliowasahau wote All members
Haya kabla ya yote wale wa uzi wa mafoto vipi?!! Mbona naingia nakuta uzi umefungiwa tena?!!! Kwan kilitokea nini wapendwa?
Hebu nipeni samarre kwanza 🥺
Mi nishakuja na li album langu la mifoto ya holiday na baby wangu nakuta mauzauza..!!
Nini kimetokea??
Njoo PM chap
 
Hebu nipeni samarre kwanza [emoji3064]
Mi nishakuja na li album langu la mifoto ya holiday na baby wangu nakuta mauzauza..!!
Nini kimetokea??
Miss you too cute [emoji847][emoji3059] karibu tena na tena kipenzi
 
Back
Top Bottom