Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo atakuwa wa bush mwenzetu anayekaa storeKuna siku nilipost status nimeegemea kabati la handbags nikaulizwa nauza [emoji1787][emoji1787] nipo dukani
Kweli umevuka na hutaki hata kupoteza muda wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila na uzuri unachangia kukupa jeuri plus mkwanja
Wenye yeboyebo tunazitolea macho zile skuna jamani
Sema navaa 42,vinginevyo nibgekupora.
Nilisema mimi humu ndani mabossledi ni watatu tu
Shunie,lamomi na udugu wake[emoji91][emoji91][emoji7]
Hongera kwa urembo mkuu.
Ila yule mtu 🤣🤣Kuna siku nilipost status nimeegemea kabati la handbags nikaulizwa nauza [emoji1787][emoji1787] nipo dukani
Kantry ananipa utajiri nisiokuwa nao ujue 😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na vile hawakuelewi
Mwanamke handbags bwana, hata mimi napenda sio siri!
😂😂 ah kubabekiAngalau haijastack😍🔥🔥🔥🔥
Watu wa bush tunajua hapo duka la mikoba
Kumbe chumbani bwana
Jamani akiyanani 😂😂😂
😂😂😂😂 Nkamu mi nitoe puliiizzzzWenye yeboyebo tunazitolea macho zile skuna jamani
Sema navaa 42,vinginevyo nibgekupora.
Nilisema mimi humu ndani mabossledi ni watatu tu
Shunie,lamomi na udugu wake🔥🔥😍
Na abortion juu [emoji1787][emoji1787]
Hamna ww mzuriKweli bwana simu tu mdogo wangu
Huyo atakuwa wa bush mwenzetu anayekaa store
Amezoea kuona mikoba mnadani
Kumbe kuna mazito humu. Depal njoo uniambie😂😂😂Bwanaah achana na kuabort na ukimwi nilipewa nilisoma shots na kabla ya hizo nilishaletewagwa na ninazo mpaka leo kaongea yeye pm kwa mtu eti nataka kuweka thread sijui tumseme mwanaume ana ukimwi
[emoji1787][emoji1787]mimi huyu nimuwekee thread ya nini sasaa ngoja siku vinipande nitazipost
View attachment 2927057Hii Depal aliona[emoji23][emoji23][emoji23].
Ila yule mtu [emoji1787][emoji1787]
Kumbe ilikuwa ni status? Sa ikamfikiaje
😍😍😍😍 wifi langu hiloooView attachment 2927057Hii Depal aliona😂😂😂.
View attachment 2927057Hii Depal aliona[emoji23][emoji23][emoji23].