ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
LindiOwky! Kwani uko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LindiOwky! Kwani uko wapi?
Lunch mzee😅Urojo haunenepeshi ni mtamu😋 usiombe umwage ukwaju na pilipili
Sasa tango na ndizi ndo lunch au unajazia tumbo baada ya kushiba dona?
😂😂😂ona sasa... Duh!Lindi
Wewe mtu wa Dar lazima ushangae😂😂😂ona sasa... Duh!
Una masikhara!!!Lunch mzee😅
Wewe mtu wa Dar lazima ushangae
Nipo Ruangwa nakula korosho
Halafu ukale na maurojoUna masikhara!!!
Nimeshiba zangu ugali na mikebuka nataka nishushie parachichi
Mkuu usiwe serious hivyo! We huogopi kukutana na stranger?Hapo ulipo hata sasa naweza fika...
Kumekuchaaaa
Kwanini unaremba, si uende PM?
Kitu pekee naogopa ni uogaMkuu usiwe serious hivyo! We huogopi kukutana na stranger?
Hahahaha 😂😂 anaogopa kukutana na fundi seremalaKwanini unaremba, si uende PM?
Hakuna mwanamke mnene muhimu kitambi kisiwepoHalafu ukale na maurojo
Utapasuka
Jidanganye mzeeHakuna mwanamke mnene
Hapa umenipa somo ''Uoga"Kitu pekee naogopa ni uoga
Mzee mwenyewe🤸Jidanganye mzee
Ushamba tuHahahaha 😂😂 anaogopa kukutana na fundi seremala
😂😂😂hakika utanikumbuka kwa mema wala si kwa mabayaHapa umenipa somo ''Uoga"
Nitaacha uoga nikiogopa kitu nitakukumbuka then nitapata nguvu
ni wewe mshamba hachekwi🙄Ushamba tu