Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wamejisusa? Mpaka sasa hawajafungua uzi wakati baadae wapo uwanjani
YeahUpo gudi ?
Wamefungua 😁🤣🤣🤣😁😁 ila ya juzi walisusaSimba wamejisusa? Mpaka sasa hawajafungua uzi wakati baadae wapo uwanjani
Sijaiona hiyoWamefungua 😁🤣🤣🤣😁😁 ila ya juzi walisusa
Polee mwaego 🤣😁😁 hata uku dar jua kalii Kuna jamaa yangu huko mwanza biashara yake kaisusa hadi bando anakosa skuizi🤣😁Yeah
Jua kali
Kaangalie sijui wanagombea kombe Gani 😂😂😁Sijaiona hiyo
Eeeh kwa nin kasusa biashara?Polee mwaego 🤣😁😁 hata uku dar jua kalii Kuna jamaa yangu huko mwanza biashara yake kaisusa hadi bando anakosa skuizi🤣😁
Mtaji Hana simu kauza yupo yupo tu 😂😁Eeeh kwa nin kasusa biashara?
Yani kumeanza kukauka.
Pamoja mkuuNi shwari tu mkuu.
Kuuza simu tenaMtaji Hana simu kauza yupo yupo tu 😂😁
Naunga mkono hoja atapata tabu sanaKuuza simu tena
Mungu amtetee Sana.
Kwa sababu mtu anaependa kusema wenzie kwa ubaya mwisho ake yeye ndio hudharirika
Kama kawa tajiriNiaje