ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
HongeraMimi wa 90 nipo huku Toka 2011
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HongeraMimi wa 90 nipo huku Toka 2011
Swahiba 😘😍😘😘😘😘Swahiba
HahahahahaHuwa najiuliza tu mwenyewe siku zote, hawa joined 2013 kurudi nyuma walikua wanatumia nini Kuingia jf
Mara ya kwanza kuona smartphone ni 2014 dada angu alikuja nayo home
Nitakufanyia suprise, nasubiri kuna neno ukiniambiaMarhabaaaa
Mka mwana.
Asante Kwa salam,
Salam yako imefanya nihisi nipo peponi.
Asanteee sana
Neno gani Hilo mkwe??Nitakufanyia suprise, nasubiri kuna neno ukiniambia
Wewe subiri siku ukiniambia tena ndo nitakufanyia ushaniambia mara 2Neno gani Hilo mkwe??
Sawa.Wewe subiri siku ukiniambia tena ndo nitakufanyia ushaniambia mara 2
Guede bado namfukuzia sijui nitamuona wapi mieSawa.
Guede anaendeleaje? Jiandae mwanangu akupeleke Zanzibar kuangalia Azam akibeba ubingwa
OhGuede bado namfukuzia sijui nitamuona wapi mie
Zenji mbali anipeleke jumamosi Taifa nikamuone Guede
Hatutaki! Kama utakuepo vaa ya YangaOh
Takuwepo na jezi yangu ya simba
Manyanyasoooo hayaHatutaki! Kama utakuepo vaa ya Yanga
Nikatie kabisa nitumie picha pm😂🤸Manyanyasoooo haya
Takulipia v.i.p
Chek pm SASA araka kabla sijaifungaNikatie kabisa nitumie picha pm😂🤸
TayariChek pm SASA araka kabla sijaifunga
Hivi uongo utaacha lini??Tayari