ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Kweli huko! 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli huko! 😂
Mkwe huaminiki kabisaaa.Kweli huko! 😂
Usisahau kusali kabla ya kupeleka moto!Mkwe huaminiki kabisaaa.
Ngoja Kwanza nipate evening glory narud badae
🤣🤣🤣🤣 Kupeleka Moto ndio kufanya nn?? Mbona vijana mna viswahili vya ajabuUsisahau kusali kabla ya kupeleka moto!
Kupiga miti🤣🤣🤣🤣 Kupeleka Moto ndio kufanya nn?? Mbona vijana mna viswahili vya ajabu
Miti inapigwaje?? Ndio kufanya nini??Kupiga miti
Kukutana kimwiliMiti inapigwaje?? Ndio kufanya nini??
Ungeniita kaka😂😂😂Hapana kaka nipo kigamboni huku nakula maisha 😂😁😁
😂😂😂 nipo jirani maisha yanatupeleka mbioHuonekani jirani, hadi napata wasiwasi😂🥺
Nilisahau kakaUngeniita kaka😂😂😂
Nipo nae home
Usmfungie sana , muachie aje humu kutusalimiaNipo nae home
Sawaa😁😂😂😂Usmfungie sana , muachie aje humu kutusalimia