jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Habari zenu wakuu,
Leo jioni nategemea kuwa na ugeni mzito kwangu,nimepanga niwatoe dinner kwenye moja ya hotel nzuri hapa Dar.
Binafsi nimefkiria Double tree by Hilton au Sea cliff, sina uzoefu na hotel hizi,ningependa mwenye uzoefu anifahamishe ni ipi kati ya hizi naweza pata chakula na vinywaji kwa bei angalau kidogo.
Pia si vibaya kama kuna anaefahamu sehemu nyingine ambayo naweza pata huduma ya vinywaji na chakula kwa bei nzuri pia tofauti na hizi mbili.
Ahsanteni.
Alcove ilikuwaga kitambo mkuu, sijui kama ipo na inatoa hudumaNenda nao Alcove, haidary plaza you wont be disapointed.
Restaurant nzuri ilikuwa ya southern sun hotel ila cku hizi uswahili umekuwa mwingi
We utakua unaishi kwa shemeji yako,HUJUI MAISHA.Masanja wali nyama panakufaa maana we ela huna ungekuwa nayo usingeuliza
Mkuu Alcove wanauza pombe pia?Nenda nao Alcove, haidary plaza you wont be disapointed.
Restaurant nzuri ilikuwa ya southern sun hotel ila cku hizi uswahili umekuwa mwingi
Mkuu wewe hela huna kwa masanja ndio panakufaa huko kwingine utasumbua watu kuja kukutolea dhamanaWe utakua unaishi kwa shemeji yako,HUJUI MAISHA.
Mkuu kwani kwa bajeti ya 4.5K kwa watu watatu hatuli na vinywaji at least?Nenda sehem ulizoZoea tu bro usije ukaAibika mbele ya wageni wako oh
hapo ni chai na mihogo.Mkuu kwani kwa bajeti ya 4.5K kwa watu watatu hatuli na vinywaji at least?
Sio enzi hizi za auncle Magu.. mkuu.hapo ni chai na mihogo.