Menu Double Tree au Sea Cliff

Menu Double Tree au Sea Cliff

Nenda koko beach kuna mihogo ya kutosha nabmishikaki ya bukubuku, pande moja la mhogo lazima mgeni aombe poo! Usicheze na manleta skulanta

kwi kwi kwi kwi kwi kwi
 
Hapana, you can try also the bay oysterbay, shooters grill oyster plaza oysterbay huko wana pombe
 
Ipo haidary plaza, na huduma ni ile ile
Umenikumbusha mbali sana mkuu, 2005 kama sijakosea, jamaa walikuwa wanaanda prowns unatamani kula mshahara wote, and they were very hygienic...
 
niliezoea wali wa buku jero na maji ya kisima cha mwamba mpaka naogopa hivi hizo naamini ukila kwenye hizo hoteli hata upataji wa choo utakuwa wa tabu kidogo as far as gharama is concern
 
Kwa chakula seacliff is the best,double tree kuna majanga kwenye msosi!
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, 2005 kama sijakosea, jamaa walikuwa wanaanda prowns unatamani kula mshahara wote, and they were very hygienic...

Zile enzi za snow cream? Nayo imerudi ipo pale pale.

Prawns bado wapo vile vile
 
Break Point ya kinondoni makaburini panakufaa wewe
 
Zile enzi za snow cream? Nayo imerudi ipo pale pale.

Prawns bado wapo vile vile
I will be visiting them mkuu, niangalie kama bado wame maintain..
 
Nenda koko beach kuna mihogo ya kutosha nabmishikaki ya bukubuku, pande moja la mhogo lazima mgeni aombe poo! Usicheze na manleta skulanta
hahaha na ile kachumbari yake .kwel lazma mgeni aombee
 
Back
Top Bottom