BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
45k kuna kitu unatafuta naona..Mkuu kwani kwa bajeti ya 4.5K kwa watu watatu hatuli na vinywaji at least?
Nenda sehem ulizoZoea tu bro usije ukaAibika mbele ya wageni wako oh
Nenda koko beach kuna mihogo ya kutosha nabmishikaki ya bukubuku, pande moja la mhogo lazima mgeni aombe poo! Usicheze na manleta skulanta
Namaanisha 450K mkuu.45k kuna kitu unatafuta naona..
Alcove ilikuwaga kitambo mkuu, sijui kama ipo na inatoa huduma
kwa hiyo bajeti yako nenda restaurant tu hizo hotek utaibika bure nakushauri.Sio enzi hizi za auncle Magu.. mkuu.
Aah kwa hyo alaf watu wanne mbona unajiachia tu na chenji inaweza kubak kama hamtakua walafi sana..Namaanisha 450K mkuu.
Biti.kwa hiyo bajeti yako nenda restaurant tu hizo hotek utaibika bure nakushauri.
Umenikumbusha mbali sana mkuu, 2005 kama sijakosea, jamaa walikuwa wanaanda prowns unatamani kula mshahara wote, and they were very hygienic...Ipo haidary plaza, na huduma ni ile ile
Tuko 3,alafu mmoja hanywi pombe.Aah kwa hyo alaf watu wanne mbona unajiachia tu na chenji inaweza kubak kama hamtakua walafi sana..
Umenikumbusha mbali sana mkuu, 2005 kama sijakosea, jamaa walikuwa wanaanda prowns unatamani kula mshahara wote, and they were very hygienic...
I will be visiting them mkuu, niangalie kama bado wame maintain..Zile enzi za snow cream? Nayo imerudi ipo pale pale.
Prawns bado wapo vile vile
hahaha na ile kachumbari yake .kwel lazma mgeni aombeeNenda koko beach kuna mihogo ya kutosha nabmishikaki ya bukubuku, pande moja la mhogo lazima mgeni aombe poo! Usicheze na manleta skulanta
sio biti mkuu,unatakiwa uende sehemu mtu unapata uhuru wa kutumia na kufurahi na sio unakua unawaza nimebakiwa na shilingi ngapi.Biti.
Ukifanya hivyo hutakaa ujue sehemu mpya mkuu.sio biti mkuu,unatakiwa uende sehemu mtu unapata uhuru wa kutumia na kufurahi na sio unakua unawaza nimebakiwa na shilingi ngapi.