Unless kama ni special occasion Nilishaachana na kupeleka mtu au watu ilimradi niwafurahishe kwa hela yangu.
Kama ni wageni wangu watakula ninachokula nyumbani. Tumetoka sana sana kama ni wanywaji basi coco beach au the likes.
Ila double tree mavyakula yao ni ya freezer kuanzia kuku mpaka mboga.
Kama kweli lazima na ni lazima kuwapeleka huko basi lunch time wakati wa buffet ingekuwa vizuri. Kwa sababu hata kama hujashiba unaongeza. Ila bia kwa double tree utakuwa hujajitendea haki. Kanywe uswahilini kwa bei za kawaida.