Menu ya chakula kwenye meli ya White Star Line

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1635438458077.png
 
Sky wewe ulipaswa kuwa Uingereza unapenda sana huko hasa story za royal family (jipige kifua useme one day yes)😂
Menu hiyo mimi sielewi chochote ningechaguliwa na muhudumu
 
Tuachani masihara, hakuna usafiri amazing kama wa majini...

Najua nimechelewa sana, lakini naendelea kuzichanga taratibu hadi nichukue 14 days cruise ship manake nitakuwa sijaitendea haki nafsi yangu endapo nitadanja kabla sijaikamilisha hii ndoto!!
 
Tukifika huko unaweza kuchukua meli mpaka Seashells ukarudi kwa ndege na ni package. Wanafanya Ulaya unaondoka Portugal to France, France London na unarudi Portugal ndani ya masaa 24.
 
Ohooooo! Bahari ichafuke au kuzuke gonjwa la kuambukizana humo. UTAJUTA Mkuu!!!

Tuachani masihara, hakuna usafiri amazing kama wa majini...

Najua nimechelewa sana, lakini naendelea kuzichanga taratibu hadi nichukue 14 days cruise ship manake nitakuwa sijaitendea haki nafsi yangu endapo nitadanja kabla sijaikamilisha hii ndoto!!
 
Tuachani masihara, hakuna usafiri amazing kama wa majini...

Najua nimechelewa sana, lakini naendelea kuzichanga taratibu hadi nichukue 14 days cruise ship manake nitakuwa sijaitendea haki nafsi yangu endapo nitadanja kabla sijaikamilisha hii ndoto!!
Nakushauri uanze kupanda meli kwa masaa sita hivi au nane mara kadhaa ndio ununue ticket ya cruising ya zaidi ya wiki mbili ndani ya maji
 
Tukifika huko unaweza kuchukua meli mpaka Seashells ukarudi kwa ndege na ni package. Wanafanya Ulaya unaondoka Portugal to France, France London na unarudi Portugal ndani ya masaa 24.
Bukoba mwaza masaa kumi
 
Nakushauri uanze kupanda meli kwa masaa sita hivi au nane mara kadhaa ndio ununue ticket ya cruising ya zaidi ya wiki mbili ndani ya maji
Mimi sio mgeni wa kusafiri baharini...

Nimesafiri hadi na mashua..
 
Back
Top Bottom