Menu za hoteli za kitalii ni shida sana!

Menu za hoteli za kitalii ni shida sana!

anophelesi sasa umeenda kufanya nini huko? nani kakwambia uende huko? ona sasa onaaa!!! ndo maana wengine tukifika huko kwenye menu tunatafuta tu chick n' chips basi
 
Mimi nilishaingia Mgahawa wa kichina nina njaa hatari nikiangalia huku na huku sio sehemu ya kula.

Menu imeandikwa kichina...kidogo katikati ya menu nikaona vimaandishi vya kichina kishq neno rice kisha wakamaliza na vimaandishi vya kichina.

Nikaitisha kuletewa chakula chenyewe kinatisha kina sura mbaya kichizi nikapiga kijiko kimoja...kisha nikanyanyuka taratibu nikaenda kutema washing room...huyo nikakatiza elfu 56000 yangu ikapotea.
 
Back
Top Bottom