Kudadadeki, sijui maendeleo ya teknolojia ya ya ungo yamefikia wapi hivi sasa?
Kweli tumeendelea sana ki teknolojiayanatumika masinia ya kichina siku hizi...........
Kweli tumeendelea sana ki teknolojia
hayo huwa hayana innovation yoyote, wanaoyajua tangia miaka ya 1700s ndio wale wale mpaka leo na ukitaka kuwa subordinate hayo masharti ni lazima ukimbie mwenyewe! Ndio maana hiyo teknolojia imebakia na wenyewe.Kudadadeki, sijui maendeleo ya teknolojia ya ya ungo yamefikia wapi hivi sasa?
Mwonekano wake wa nje sijaupenda kivile, I like the previous edition labda perfomance yake ndo iko bomba sambamba na teknolojia ya kisasa.
Kuna sehem.za kuendeshea sio temeke na manzese mixa mbagala.Saidia nielewe...hizo setting unapoziweka inakuwa na uwezo wa kukwepa daladala, bajaji na bodaboda??
Nimeuza gari zangu zote, naongezea pesa nivute E350, kuna rafiki yangu kanitia moto sana kanunua E350 AMG mpyaaa siku kaniita nikapaki pembeni ya hiyo gari nikaanza jiuliza hii chuma ya nani hapa badae ndio ananiambi yake nilichoka yaaani ile gari aacha kabisa huwezi tamani kushuka wala kuchoka kuendeshaMercedes-Benz ukiendesha hizo gari sidhani kama unaweza kuwakosoa kitu ila ukiangalia nje utatoa makosa kibao...gari za kibabe sana road zina comfort ya kutosha na pia zina balance sana...Benz ni gari linaloongea...
Siku uendeshe hata kina Cayenne uone mabadiliko.Nimeuza gari zangu zote, naongezea pesa nivute E350, kuna rafiki yangu kanitia moto sana kanunua E350 AMG mpyaaa siku kaniita nikapaki pembeni ya hiyo gari nikaanza jiuliza hii chuma ya nani hapa badae ndio ananiambi yake nilichoka yaaani ile gari aacha kabisa huwezi tamani kushuka wala kuchoka kuendesha
Mkuu tatizo pesa mzee.. Cayenne kuna siku nimekuta watoto wazuri kinoma pale M.city wakuliwa kabisa na mie tena namba DX mpyaaa .. ushuru wa TRA siwezi kwa sasa hali yangu ya sasa E350 naweza imudu na kuhudumia ila hayo mengine siwezi mzee.. lazima uangalie na kiwango chako cha pesaSiku uendeshe hata kina Cayenne uone mabadiliko.
One day yes. Tuongeze juhudi.Mkuu tatizo pesa mzee.. Cayenne kuna siku nimekuta watoto wazuri kinoma pale M.city wakuliwa kabisa na mie tena namba DX mpyaaa .. ushuru wa TRA siwezi kwa sasa hali yangu ya sasa E350 naweza imudu na kuhudumia ila hayo mengine siwezi mzee.. lazima uangalie na kiwango chako cha pesa
Hongera Mkuu one day yes mimi najibanza kwenye Benz na Ford huko Cayenne kodi ya Mama haisomeki ila nikiziona mwili unasisimuka ile gari ina mapumziko balaa..One day yes. Tuongeze juhudi.
Kuna Cayenne GTS ya 2017 nna mpango nayo mwakani mwishoni kabisa.