kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
Wakati tukiwa katika karne ya 21 huku tukiwa tunashuhudia teknolijia mbalimbali duniani ambazo zinakufanya kushangaa nakuona kama ni kiini macho huamini amini;
Hivi katika kuendeleza teknolojia - imezinduliwa Mercedes Benz 2014 S550 ambayo ukishaiwasha unaweka setting zako, inajiendesha yenyewe wewe kadri ulivyo weka setting zako, huku ukiwa wewe umekaa, ukisubiri pale utakapo hitajika kubadili setting zako kutoka na mazigira.
Mercedes Benz 2014 S550 , bei yake bado haijajulikana itauzwa kiasi gani.
© 2013 BW