kwa benz bro nakushauri anza kutumia kuanzia C class A na B class zitakupasua kicjwa kwenye spareHabari!,
Naomba kujua Pros (+) na Cons (-) za gari Mercedes A170 W169 CVT transmission.
Natanguliza shukrani
pros: Ni gari ya mjerumani so utaosha jina.Habari!,
Naomba kujua Pros (+) na Cons (-) za gari Mercedes A170 W169 CVT transmission.
View attachment 2293485
Natanguliza shukrani