Mercedes Benz A-class a170

Mercedes Benz A-class a170

Zvi

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
626
Reaction score
384
Habari!,
Naomba kujua Pros (+) na Cons (-) za gari Mercedes A170 W169 CVT transmission.

220722-4.jpg


Natanguliza shukrani
 
Benz haitaki shurba na uendeshaji wake uwe wa kistaarabu ,zingatia spare genuine na service ya uhakika hapa utawezana na benz
 
kwa mujibu wa comments nyingi, the downside ya hii gari ni SHAPE na MAINTENANCE costs, the shape is not an issue to me, ila nimeachana nayo. Nawashukuru kwa michango yenu
 
Habari naomba kupata mawasiliano ya fundi wa ac wa benz c class 180, AC imenisumbua fundi akasema compressor imekufa tukabidili nilvyosafiri kuja Moshi. Hali ikaanza Tena AC inatoaa joto tu...naombeni msaada
 
Back
Top Bottom