Mercedes Benz - C Class Sedan C220 limenyopa tayari

Mercedes Benz - C Class Sedan C220 limenyopa tayari

Wakuu hii gari haina mwezi TZ tayari limenyopa hapa home na hela sina. Nafanyaje?
Wakati tunakushauri ununue Toyota si ulisema unataka kuwa 'unique'?Haya sasa kiko wapi?😃
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Ndomana sikuoni road kaka...daaah ngja nkuachie kale kavitz kangu basi
 
Tume ya Mipango ishughulikie hili
 
Back
Top Bottom