Mkulima2002
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 291
- 211
Nami nangoja kwa hamu mkuuMhhh mm sijui hata ...ngoja waje
Salaam Wakuu wangu, natumaini wote mko vema na mnaendelea salama na ujenzi wa Taifa Tanzania.
Natumaini Kama si wote basi baadhi yenu mnauzoefu na ujuzi japo kwa kiasi fulani juu ya vyombo vya moto {hapa nimelenga zaidi magari}
Wandugu mimi ni mpenzi wa Gari aina ya Gari aina ya Mercedes Benz C- Class sasa wakuu naombeni ushauri juu ya hii gari:-
1} Changamoto zake katika uendeshaji/umiliki
2} Utunzaji
3} Utumiaji wa mafuta
Na pia kama kuna kingine tujuzane kwa faida ya wote wenye ndoto hii.
Asanteni wakuu.
Waipenda na hujaimiliki? ziko model nyingi latest ni WD204, kushuka WD203, WD202, WD201
na BENZ ni BENZ .....Gari ni hizo za Japan
Chukua ya south Africa unatoka nayo uanendesha mpaka dar.Border unaomba kibali cha miezi miwili unaendelea kuitumia huku ukitafuta hela ya ushuru na Vat.
Experience ya kumiliki Mercedes au kununua toka South Africa?Mkuu una experience na hii Kitu maana Nani nilitaka kufanya hivi zilichanganya
Ulaji wa mafuta ni mzuri sana, pia inakimbia sana (speed mpaka 260kms/hr). Ukiwa barabarani kama unapenda kukimbia, watu watakutafuta. Pia imetulia sana ukiiendesha.Salaam Wakuu wangu, natumaini wote mko vema na mnaendelea salama na ujenzi wa Taifa Tanzania.
Natumaini Kama si wote basi baadhi yenu mnauzoefu na ujuzi japo kwa kiasi fulani juu ya vyombo vya moto {hapa nimelenga zaidi magari}
Wandugu mimi ni mpenzi wa Gari aina ya Gari aina ya Mercedes Benz C- Class sasa wakuu naombeni ushauri juu ya hii gari:-
1} Changamoto zake katika uendeshaji/umiliki
2} Utunzaji
3} Utumiaji wa mafuta
Na pia kama kuna kingine tujuzane kwa faida ya wote wenye ndoto hii.
Asanteni wakuu.
Sijawahi miliki Benz ila binamu yake vw nimemiliki.Gari ya mjerumani unatakiwa uwe na Pesa ya uhakika ya spare parts na service,pia usipeleke kwa mafundi uchwara.Ikizingua peleka kwa mafundi wanao zijua hapo utaifurahia.Experience ya kumiliki Mercedes au kununua toka South Africa?
MKUU EBU TUBIA BEI ZA HIZI GARI HUKO SOUTH AFRICA, NA UFAFANUE KIDOGO KUHUSU KULIPA USHURU BAADA YA MIEZI MIWILI, NA JE UNATAKIWA UWE NA NYARAKA ZIPI ILI UPATA MSAMAHA WA HIYO MIEZISijawahi miliki Benz ila binamu yake vw nimemiliki.Gari ya mjerumani unatakiwa uwe na Pesa ya uhakika ya spare parts na service,pia usipeleke kwa mafundi uchwara.Ikizingua peleka kwa mafundi wanao zijua hapo utaifurahia.
Kihusu kununu gari South Africa sijawahi ila niko hapa kwa sasa na najua gari nzuri za miaka ya karibuni ni cheap kuliko Japan ila lazima ujue wapi kwa kuzipata.Spare parts za kila aina zinapatikana hapa kwa bei ya chini tu.Uzuri wa gari za hapa ni kwamba unanunua imesajiliwa una drive mpaka tz ushuru unaweza lipa baada ya miezi miwili au mitatu wakati unalitumia.
Thanks so much MkuuNenda website hii auto-data.net utaona gari kibao pamoja na ulaji wake wa mafuta
Asante sana mkuu.. I saluteKwanza kiongoz heshimu hisia zako, kama umeipenda hii gari chukua kwan ni gari nzuri na imara sana, kuhusu mafuta jitahidi kuchukua isiyozid cc2000,
na kwa uimara ni gari imara sana kwan aina magonjwa mengi kama baadhi ya magari ya kijapani
kwenye spea hapa kidogo zimechengemka kidogo, ila ukifunga ni mkataba ukilinganisha na hizi za magari mengiene na upatikanaji wa spea kwa sasa sio shida tena zinapatika
kikubwa inatakiwa kama unapesa na roho yako inataka ku push benz chukua mkuu kwan ni gari ya heshima kwa kweli. TUSIKARIRI GARI NI TOYOTA TU,
NAWAKILISHA
Gari inatoka hapa kuja Tanzania na usajili wa South Africa,mtu anaingia nayo kama amekuja kutembea kwamba itatoka kurudi SA tena.Mpakani unapewa kibali cha siku 60 may be hadi 90 sometimes. Ukiingia nayo unaendela kuitumia ukiwa tayari unalipia ushuru ili isajiliwe Tanzania, Wote wanaonunua gari huku wanafanya hivyo isipokua gari mpya.MKUU EBU TUBIA BEI ZA HIZI GARI HUKO SOUTH AFRICA, NA UFAFANUE KIDOGO KUHUSU KULIPA USHURU BAADA YA MIEZI MIWILI, NA JE UNATAKIWA UWE NA NYARAKA ZIPI ILI UPATA MSAMAHA WA HIYO MIEZI
Mkuu I wish nikuone unipe hii shule kweli kweli.. manake nilikuwa na browse Benz nikaona web moja hivi ya S.A wanazo nzuri sana..Chukua ya south Africa unatoka nayo uanendesha mpaka dar.Border unaomba kibali cha miezi miwili unaendelea kuitumia huku ukitafuta hela ya ushuru na Vat.
Bahati mbaya SA kwa sasa.Mkuu I wish nikuone unipe hii shule kweli kweli.. manake nilikuwa na browse Benz nikaona web moja hivi ya S.A wanazo nzuri sana..