Mkulima2002
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 291
- 211
- Thread starter
- #21
Poa poa kaka, ntakucheki Kwa DM asante kwa ku-share.Bahati mbaya SA kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa kaka, ntakucheki Kwa DM asante kwa ku-share.Bahati mbaya SA kwa sasa.
cc Isanga FamilyMkuu I wish nikuone unipe hii shule kweli kweli.. manake nilikuwa na browse Benz nikaona web moja hivi ya S.A wanazo nzuri sana..
ndio mkuu thanks for models numbers.. vipi kuhusu mambo mengine kama nilivyouliza hapo juu mkuu
ya kununua na kudrive kutoka south to dar na issue ya vibali vya kuitumia gari kwa mda wa miezi miwilii kama ulivyosemaExperience ya kumiliki Mercedes au kununua toka South Africa?
Ushauri: Anza na WD203 (The Mercedes-Benz C-Class (W203) is an automobile which was produced by German manufacturer Mercedes-Benz from July 2000 to December 2006. It was the second C-Class model from Mercedes-Benz.)
C180 ni cc1800
Wapi kwa kununua, you can buy from Singapore, Japan, UK or SA. I personal do prefer buying from Japan cost yake $4000-$6000 CIF dar es salaam ( from SA zinasumbua wakija wale watu wa interpol kutafuta gari za wizi from SA) za singapore(my 1st was a WD202 from sigapore) ware and tear inakuwa kubwa yaani zimechakaa sana hasa ndani.
Lastly. ukinunua from popote duniani ikifika mikononi mwako, fanya Service B(Change most replaceable parts(shocks.brakes ti-rods, links n.k) normal $3000 - $4000).
Bada ya hapo enjoy driving ur mbenz!!!
Reference: Mercedes-Benz C-Class (W203) - Wikipedia
Gari ikifika border inalipiwa bond,road toll na insurance.Ukifika nayo mjini ndipo uanze kupambana kubadilisha usajili .ya kununua na kudrive kutoka south to dar na issue ya vibali vya kuitumia gari kwa mda wa miezi miwilii kama ulivyosema
vipi kwenye ulaji wa mafuta mkuu, tujuze ili na sisi tutoke huku japanMnyama Benz ni gari nzuri sana na ninalo langu 203 kwa mwaka wa tatu sasa na tangu nimelinunua, sijawahi kuwaza kubadilisha gari pamoja na kwamba uwezo wa kubadili gari muda wowote ule ninao.
Unaweza mwenyewe ukapata picha jinsi ninavyo-enjoy.
Inawezekana kuivusha border bila kulipia ushuru kweli?Chukua ya south Africa unatoka nayo uanendesha mpaka dar.Border unaomba kibali cha miezi miwili unaendelea kuitumia huku ukitafuta hela ya ushuru na Vat.
Mkuu ipyax hebu nipatie hizo site maarufu za kupata used car zenye ubora kwa hapo South Africa.Sijawahi miliki Benz ila binamu yake vw nimemiliki.Gari ya mjerumani unatakiwa uwe na Pesa ya uhakika ya spare parts na service,pia usipeleke kwa mafundi uchwara.Ikizingua peleka kwa mafundi wanao zijua hapo utaifurahia.
Kihusu kununu gari South Africa sijawahi ila niko hapa kwa sasa na najua gari nzuri za miaka ya karibuni ni cheap kuliko Japan ila lazima ujue wapi kwa kuzipata.Spare parts za kila aina zinapatikana hapa kwa bei ya chini tu.Uzuri wa gari za hapa ni kwamba unanunua imesajiliwa una drive mpaka tz ushuru unaweza lipa baada ya miezi miwili au mitatu wakati unalitumia.
Ni web gani hiyo mkuu?Mkuu I wish nikuone unipe hii shule kweli kweli.. manake nilikuwa na browse Benz nikaona web moja hivi ya S.A wanazo nzuri sana..
Hii picha nimeipata mpaka kumoyo aisee...Mnyama Benz ni gari nzuri sana na ninalo langu 203 kwa mwaka wa tatu sasa na tangu nimelinunua, sijawahi kuwaza kubadilisha gari pamoja na kwamba uwezo wa kubadili gari muda wowote ule ninao.
Unaweza mwenyewe ukapata picha jinsi ninavyo-enjoy.
Hapana amechanganya kidogo kwa kuwa amesema hajawahi nunua wala kuleta ila anasikia Mkuu Ipyax mengine yupo sahihi...Tanzania boarder kama Raia wa Tanzania unatakiwa uwe na Working permit au Resident permit ya SA kukuonesha wewe mtanzania huku umekuja kusalimia utarudi na gari yako ndio utalipia hivyo vibali tofauti na hapo unatakiwa ulipe kodi miaka ya nyuma walikua wanaturuhusu tunaacha passport unapita na gari kuikomboa pass unaenda na documents za TRA kuonesha umelipa ilikua ni kutusaidia tuu Mara Ingine unagongwa muhuri wa customs kwenye mkwaju na maandishi kuonesha kumuelekeza uhamiaji asiigonge unapotoka mpaka uwasiliane na customs office tumetoka mbali hiyo yote ilikua ni kuturuhusu tuingie na Mali zetu...sasa hivi hakuna kitu kama hicho kuna jamaa kaja na Range Rover Vela aliliacha Tunduma kaja dar kwa bus kamaliza shughuli zake karudi kulichukua na kurudi nalo SA yeye alikua anakuja kusalimia kweli ila vigezo vya kupita na gari hana...Inawezekana kuivusha border bila kulipia ushuru kweli?