Mercedes Benz C- Class

Mercedes Benz C- Class

ndio mkuu thanks for models numbers.. vipi kuhusu mambo mengine kama nilivyouliza hapo juu mkuu

Ushauri: Anza na WD203 (The Mercedes-Benz C-Class (W203) is an automobile which was produced by German manufacturer Mercedes-Benz from July 2000 to December 2006. It was the second C-Class model from Mercedes-Benz.)

C180 ni cc1800

Wapi kwa kununua, you can buy from Singapore, Japan, UK or SA. I personal do prefer buying from Japan cost yake $4000-$6000 CIF dar es salaam ( from SA zinasumbua wakija wale watu wa interpol kutafuta gari za wizi from SA) za singapore(my 1st was a WD202 from sigapore) ware and tear inakuwa kubwa yaani zimechakaa sana hasa ndani.

Lastly. ukinunua from popote duniani ikifika mikononi mwako, fanya Service B(Change most replaceable parts(shocks.brakes ti-rods, links n.k) normal $3000 - $4000).

Bada ya hapo enjoy driving ur mbenz!!!

Reference: Mercedes-Benz C-Class (W203) - Wikipedia
 
Experience ya kumiliki Mercedes au kununua toka South Africa?
ya kununua na kudrive kutoka south to dar na issue ya vibali vya kuitumia gari kwa mda wa miezi miwilii kama ulivyosema
 
Yaah, Thanks mkuu, actually kuna Mkuu mmoja humu ndani kanipa hii link {auto-data.net} nimekuta mambo mazuri na pia hata mimi nilikuwa nimelenga hiyo hiyo WD203 na pia baada ya kutembelea hii link nimeikubali zaidi.
Thanks for being Kind Mkuu.
 
ya kununua na kudrive kutoka south to dar na issue ya vibali vya kuitumia gari kwa mda wa miezi miwilii kama ulivyosema
Gari ikifika border inalipiwa bond,road toll na insurance.Ukifika nayo mjini ndipo uanze kupambana kubadilisha usajili .
 
Mnyama Benz ni gari nzuri sana na ninalo langu 203 kwa mwaka wa tatu sasa na tangu nimelinunua, sijawahi kuwaza kubadilisha gari pamoja na kwamba uwezo wa kubadili gari muda wowote ule ninao.

Unaweza mwenyewe ukapata picha jinsi ninavyo-enjoy.
 
vipi kwenye ulaji wa mafuta mkuu, tujuze ili na sisi tutoke huku japan
 
Chukua ya south Africa unatoka nayo uanendesha mpaka dar.Border unaomba kibali cha miezi miwili unaendelea kuitumia huku ukitafuta hela ya ushuru na Vat.
Inawezekana kuivusha border bila kulipia ushuru kweli?
 
Ukiwa unaishi kwenye miji mikubwa Benz itakufaa ila kama uko mikoa inayokuwa utapata shida mafundi na spea.Narudia Tena Mafundi ni shida kitu kidogo tu unaweza kupaki na kuanza kufugia bata.
 
Sijawahi miliki Benz ila binamu yake vw nimemiliki.Gari ya mjerumani unatakiwa uwe na Pesa ya uhakika ya spare parts na service,pia usipeleke kwa mafundi uchwara.Ikizingua peleka kwa mafundi wanao zijua hapo utaifurahia.

Kihusu kununu gari South Africa sijawahi ila niko hapa kwa sasa na najua gari nzuri za miaka ya karibuni ni cheap kuliko Japan ila lazima ujue wapi kwa kuzipata.Spare parts za kila aina zinapatikana hapa kwa bei ya chini tu.Uzuri wa gari za hapa ni kwamba unanunua imesajiliwa una drive mpaka tz ushuru unaweza lipa baada ya miezi miwili au mitatu wakati unalitumia.
Mkuu ipyax hebu nipatie hizo site maarufu za kupata used car zenye ubora kwa hapo South Africa.
 
Mnyama Benz ni gari nzuri sana na ninalo langu 203 kwa mwaka wa tatu sasa na tangu nimelinunua, sijawahi kuwaza kubadilisha gari pamoja na kwamba uwezo wa kubadili gari muda wowote ule ninao.

Unaweza mwenyewe ukapata picha jinsi ninavyo-enjoy.
Hii picha nimeipata mpaka kumoyo aisee...
Thanks kwa ku-share Great thinker
 
Inawezekana kuivusha border bila kulipia ushuru kweli?
Hapana amechanganya kidogo kwa kuwa amesema hajawahi nunua wala kuleta ila anasikia Mkuu Ipyax mengine yupo sahihi...Tanzania boarder kama Raia wa Tanzania unatakiwa uwe na Working permit au Resident permit ya SA kukuonesha wewe mtanzania huku umekuja kusalimia utarudi na gari yako ndio utalipia hivyo vibali tofauti na hapo unatakiwa ulipe kodi miaka ya nyuma walikua wanaturuhusu tunaacha passport unapita na gari kuikomboa pass unaenda na documents za TRA kuonesha umelipa ilikua ni kutusaidia tuu Mara Ingine unagongwa muhuri wa customs kwenye mkwaju na maandishi kuonesha kumuelekeza uhamiaji asiigonge unapotoka mpaka uwasiliane na customs office tumetoka mbali hiyo yote ilikua ni kuturuhusu tuingie na Mali zetu...sasa hivi hakuna kitu kama hicho kuna jamaa kaja na Range Rover Vela aliliacha Tunduma kaja dar kwa bus kamaliza shughuli zake karudi kulichukua na kurudi nalo SA yeye alikua anakuja kusalimia kweli ila vigezo vya kupita na gari hana...
 
Benz ni Moja ya magari yakiwa used SA yanauzwa bei Ndogo tofauti na magari mengine sababu kubwa wengi wenye uwezo wa kununua Benz wananunua mapya kwa hata used wakikomaa wauze bei juu hayatapata soko,Benz zipo nyingi na matoleo mengi kila siku unaweza unaona toleo jipya machoni mwako ukienda kwenye minada au deep city hapo wanauza bei za kawaida,Borgsburg East land Mall kuna mhindi anauza bei Ndogo matoleo ya sasa hivi halijagongwa ni kuwasha na kuondoka...Kwa ufupi SA Benz zipo za kutosha sana...check Gumtree.co.za au andika Benz.co.za nenda kwenye used...
 
Harafu unaponunua chukua Automatic maana auto car kwa SA bei ipo ndogo tofauti na manual kwa wengi kwa SA wanapendelea manual na kwa Bongo auto ndio zipo sokoni kwa hizi gari ndogo...kwa hiyo unayoitaka haina kodi kubwa mkuu kule ulionesha ile Picha ilikua ya 2015...tafuta 180C Class au E mwaka 2005 mpaka 2007 kodi yake sio kubwa hata manunuzi pia ipo chini...
 
Back
Top Bottom