Mercedes Benz C200 Compressor

Mercedes Benz C200 Compressor

Gushleviv

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
3,475
Reaction score
5,290
Habari wakuu, Kuna jamaa yangu anahitaji kuagiza Gari hii Mercedes Benz C200 Compressor ya Mwaka 2004. Sasa tumeulizia kwa fundi mmoja anasema jamaa asinunue hiyo gari sababu ni mbovu sana na kwamba Cylinder Head yake ni ya Alluminium hivyo imitokea gari imechemsha mara moja tuu basi ndio mwisho wake.
Sasa najua humu kuna wataalamu wa Magari, naomba msaada wa ushauri au iwapo kama kuna Option nyingine na Mercedes ambayo itafaa kwa Mazingira ya Bongo haswa matembezi ya weekend na trip chache mkoani.

CC: RRONDO , Extrovert

221365-5.jpg

221365-eng.jpg

221365-1.jpg

View attachment 1953751

View attachment 1953752

View attachment 1953753

View attachment 1953754
Kwanza kabisa hii ulioweka sio ya 2004 hii ni ya 2007 na kuendelea C class known as W204.
Ya 2004 zilianza 2000-2005 known as W2003.
Nasema kifupi tu huyo fundi wako ndio mbovu. C class za 2004 ni gari ngumu sana na engine yake inayojulikana kama M271 ndio ipo kwenye W204 mpaka za 2011 kama ingekuwa na shida hio engine ingeishia mwaka 2005 tu.
Mwambie tu rafiki yako hii ni Mercedes Benz sio Mark X au Premio akija kuambiwa set ya front shocks 800,000/- asije kuanza kulialia.
 
Hahahaha...Poa Mkuu nimekusoma.
 
Mercedes Benz na BMW na Audi ni Gari madhubuti kabisa ila kwa hapa bongo mafundi mashikio(hutumia masikio yao kujua tatizo). Na sio kufanya diagnostic ya computer atakwambia ukitaka kununua Gari wewe nunua Toyota tu. Kumbe Toyota ndio gari anayoijua kuitengeneza na vifaa vyake vimejaa kila kona. Kama rafiki yako pochi nene mwambie hio mashine murwaaa lakini kama maisha ya mchuzi manjano mwambie asinunue.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Hahahaha
 
Kwanza kabisa hii ulioweka sio ya 2004 hii ni ya 2007 na kuendelea C class known as W204.
Ya 2004 zilianza 2000-2005 known as W2003.
Nasema kifupi tu huyo fundi wako ndio mbovu. C class za 2004 ni gari ngumu sana na engine yake inayojulikana kama M271 ndio ipo kwenye W204 mpaka za 2011 kama ingekuwa na shida hio engine ingeishia mwaka 2005 tu.
Mwambie tu rafiki yako hii ni Mercedes Benz sio Mark X au Premio akija kuambiwa set ya front shocks 800,000/- asije kuanza kulialia.
Hahah wazee wa mafundi hamna na spea bei ghali hao sio. Jini hilo. Ndoa ya kikristo.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Benz ni gari ukiweza kununua nunua tuu sio ya kuuliza uliza wachimbachumvi watakukatisha tamaa kwa kitu ambacho hawakijui kabisaa...Benz parts zake ni imara na inachukua muda mrefu kuharibika kwa vitu vingi sio kama magari mengine hata parts zake zinapokua bei juu inakuwa imeumika kweli maana hawana magumashi hao na pia umeme sio mwingi kuwa utaikuta imezima road yenyewe inasubiri mafundi wa kucheki...Benz ni moja ya gari zina Comfort ya kipekee sana pamoja na balance haichezi bara barani hata kwenye kona kali inakua kama imenasa road hivi...Mercedes-Benz
 
Benz ni gari ukiweza kununua nunua tuu sio ya kuuliza uliza wachimbachumvi watakukatisha tamaa kwa kitu ambacho hawakijui kabisaa...Benz parts zake ni imara na inachukua muda mrefu kuharibika kwa vitu vingi sio kama magari mengine hata parts zake zinapokua bei ipo juu inakuwa imeumika kweli maana hawana magumashi hao na pia umeme sio mwingi kuwa utaikuta imezima inasubiri mafundi wa kucheki...Benz ni moja ya gari zina Comfort ya kipekee sana pamoja na balance haichezi bara barani hata kwenye kona kali inakua kama imenasa road hivi..
Kabisa Mkuu, naona wengi wanaotoa ushauri wa kukatisha tamaa ni mafundi uchwara
 
Ukweli ni kwamba Mercedes Benz, Volkswagen, BMW, Audi sio gari nzuri ikiwa hauna uzoefu wa magari, utapigwa na mafundi kajanja na hata wanaweza kukuharibia gari labda uweze kwenda kwa official service centre kama CFAO Motors, Noble Motors ambapo tatizo dogo tu unaweza kujikuta umetoa 1m ...lakini ukiwa mzoefu spare parts unaagiza mwenyewe na vitu vidogo vidogo unafunga mwenyewe au unamsimamia fundi kabisa asije akafanya makosa
 
Nikusaidie kuweka sawa. Inabidi uwe na akili ukiwa na hizo gari. Otherwise pole sana.

N.B Usije kununua spare ya Merc hapa Bongo. Jamaa watakupiga mara 4 au 5 ya bei halisi tena spare parts zenyewe mafamba ya Dubai. Na hawakuuzi the best brands watakuuzia viBrand uchwara kwa bei kubwa.....mwambie nataka Brake Pads za Brembo au ATE Ceramic atakuambia set milioni.....kisa kaona huna akili anataka akupige

Spare agiza mwenyewe. Siku tatu tu DHL Express mzigo umefika tena Genuine from Europe.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Benz ni gari ukiweza kununua nunua tuu sio ya kuuliza uliza wachimbachumvi watakukatisha tamaa kwa kitu ambacho hawakijui kabisaa...Benz parts zake ni imara na inachukua muda mrefu kuharibika kwa vitu vingi sio kama magari mengine hata parts zake zinapokua bei juu inakuwa imeumika kweli maana hawana magumashi hao na pia umeme sio mwingi kuwa utaikuta imezima road yenyewe inasubiri mafundi wa kucheki...Benz ni moja ya gari zina Comfort ya kipekee sana pamoja na balance haichezi bara barani hata kwenye kona kali inakua kama imenasa road hivi...Mercedes-Benz
Kama Mmiliki naunga mkono hoja. Awakwepe sana wachimba chumvi na watu wa Toyota.

Yani ukishaona mtu anamiliki Toyota hata maswali ya Benz asimuulize kabisa maana wao stori zao hili jini....linabugia mafuta.....spea bei ghali......mafundi hakuna.....zina umeme mwingi....sijui ni gari ya kutoka wikendi kwa wikendi ....

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
N.B Usije kununua spare ya Merc hapa Bongo. Jamaa watakupiga mara 4 au 5 ya bei halisi tena spare parts zenyewe mafamba ya Dubai. Na hawakuuzi the best brands watakuuzia viBrand uchwara kwa bei kubwa.....mwambie nataka Brake Pads za Brembo au ATE Ceramic atakuambia set milioni.....kisa kaona huna akili anataka akupige
Hii kauli yako ni generalization mbaya sana. Kuna Benz nyingi sana hapa Tanzania na asilimia 99% ya parts wananunua hapa hapa TZ. Spare high quality zipo na bei stahiki utapata, labda wewe hujui. Tupo tunaagiza from Germany, UK. Dont generalize kwasababu umekutana na makanjanja wa Ilala na madalali.
Halafu nikwambie kitu hakuna sehemu yenye spare fake kama mitandaoni ila ndio hivyo kila mtu akishajua ebay anaona kamaliza. Ebay every tom and dick anaweka parts zake na wengi wanaweka wanazonunua China. Kitu nilichokiona wamiliki wengi wapya wa hizi Euro makes wana ujuaji mwingi na huwa wanaangukia pua.
 
Nikusaidie kuweka sawa. Inabidi uwe na akili ukiwa na hizo gari. Otherwise pole sana.

N.B Usije kununua spare ya Merc hapa Bongo. Jamaa watakupiga mara 4 au 5 ya bei halisi tena spare parts zenyewe mafamba ya Dubai. Na hawakuuzi the best brands watakuuzia viBrand uchwara kwa bei kubwa.....mwambie nataka Brake Pads za Brembo au ATE Ceramic atakuambia set milioni.....kisa kaona huna akili anataka akupige

Spare agiza mwenyewe. Siku tatu tu DHL Express mzigo umefika tena Genuine from Europe.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Google hizo labda utaacha kutoa kauli za jumla jumla na dharau
IMG_20210927_094756_2.jpg
 
Hii kauli yako ni generalization mbaya sana. Kuna Benz nyingi sana hapa Tanzania na asilimia 99% ya parts wananunua hapa hapa TZ. Spare high quality zipo na bei stahiki utapata, labda wewe hujui. Tupo tunaagiza from Germany, UK. Dont generalize kwasababu umekutana na makanjanja wa Ilala na madalali.
Halafu nikwambie kitu hakuna sehemu yenye spare fake kama mitandaoni ila ndio hivyo kila mtu akishajua ebay anaona kamaliza. Ebay every tom and dick anaweka parts zake na wengi wanaweka wanazonunua China. Kitu nilichokiona wamiliki wengi wapya wa hizi Euro makes wana ujuaji mwingi na huwa wanaangukia pua.
Sio ujuaji mzee baba. Zile zama za fundi ndio kila kila kitu zimepitwa na wakati.

Wabongo wengi siku izi wamepita pita shule kwaiyo wanajua mambo zinavoenda.

Halafu mimi siongelei kuagiza spare ebay.

Hapana kuna sites reliable kabisa spare ni genuine.

Mfano: AUTODOC na TRODO hawa jamaa wanauza spare parts genuine kwa bei reasonable na uhakika. delivery 3 days.

Spare parts za Dubai ziendelee kuuzwa waliochelewa kuja mjini.

Hakuna service ya kukufikishia mzigo siku tatu. Hata DHL inazidi siku tatu. Huko unakoagiza wewe Sisi tushaacha tunanunua kutoka kwa manufacturers. Hata hizo bei za hao unawaagiza ni kubwa kwasababu na wao wanaweka mark up.
 
Kabisa Mkuu, naona eengi wanaotoa ushauri wa kukatisha tamaa ni mafundi uchwara
Mimi nilinunua Mercedes miaka hiyo ya 2010 hata bila kumuuliza mtu na nilitumia mpaka nikabadili toleo lingine nalolitaka tena nimerudi kwenye Ford ila ntarudi huko tena tukijaaliwa hasa kwenye ile Pick up yao ya Mercedes X nimeielewa sana hizo gari ni kuzingatia miaka ya karibuni tuu isiwe imetumika sana...
 
Back
Top Bottom